Get Well Soon Dena Amsi...

Get Well Soon Dena Amsi...

Nimepata nafauu wapendwa niko mtandaoni sasa.

Asanteni sana wapenzi
welcomeback.jpg
Karibu sana!
 
Pole D.A.
Mungu akurudishie afya na uzima tele.Pole sana kwa kula xmas kwa style hii.
Vipi kama kuna nguo chafu na vyombo usihangaike nakuja kufua na kukuoshea vyombo hivyo.Nipo kwa ajii yako.
 
Pole D.A.
Mungu akurudishie afya na uzima tele.Pole sana kwa kula xmas kwa style hii.
Vipi kama kuna nguo chafu na vyombo usihangaike nakuja kufua na kukuoshea vyombo hivyo.Nipo kwa ajii yako.

Umejuaje na nguo chafu zimejaa tenga? Thanx in advance nakusubiri
 
Wengine mkiumwa huwa mnakuwa wabishi kwenye KULA- BONA PETIT!!
 
Huu mwaka wa shetani huu!Pole MAMA!
 
Back
Top Bottom