Get Well Soon Dena Amsi...

Jamani best friend....pole mwaya! Mwenyezi Mungu akusaidie upone haraka!
we kipipi we,kwa nini hujantumia hepi nyu yia?mwone ntaacha kukuletea mgao wa kloriti na ambi!
 
Dena, nakutakia upone haraka na urudi katika hali ya kawaida.

Nakukumbuka kwa busara zako wakati wa tatizo langu la mwaka jana.
 
Bishanga heri ya mwaka mpya
Nimesubiri sana lile vogue lako ulilete kwa TF mpaka nimechoka
Kama ni kukesha nimepitiliza sasa
 
Pole my twin,.mwenyewe hoi kitandani naumwa!I wish u a quick recovery
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.
halafu shem ujue mi ndo niko bize napambana na wanao chakachua uzi wa TF,we acha tu,mambo? Uji umetelemka? Asubuhi nikuletee nini uji wa ulezi? Kashata? Kitumbua cha mchele au chai yenye chumvi kidogo?
 
Eimen alleluhya,naona nuru ya Bwana inamuangazia Dena pamoja na mazambi yake kibao kulalalleki!!!!
 
Bishanga heri ya mwaka mpya
Nimesubiri sana lile vogue lako ulilete kwa TF mpaka nimechoka
Kama ni kukesha nimepitiliza sasa
Mkuu niko bize nahangaikia kupata chata ndege ya kumpeleka Dena st thomas landani,si unajua ni li shem langu la nguvu??
 
QUOTE=Bishanga;3065953]Mkuu niko bize nahangaikia kupata chata ndege ya kumpeleka Dena st thomas landani,si unajua ni li shem langu la nguvu??[/QUOTE]
Nilijua ni saint thomas ya hapa Atown
Ahhh haya mkuu naendelea kukesha kwa TF mpaka ahadi itimizwe
 
QUOTE=Bishanga;3065953]Mkuu niko bize nahangaikia kupata chata ndege ya kumpeleka Dena st thomas landani,si unajua ni li shem langu la nguvu??
Nilijua ni saint thomas ya hapa Atown
Ahhh haya mkuu naendelea kukesha kwa TF mpaka ahadi itimizwe[/QUOTE]
huyo TF mhuni tu,michango yote ya kumuuguzia dena kala huyo!
 
Get well soon mamy... wish you a very prompt reestablishment!

bibie umeniponza hamu na ww sina..ban nilillamba...ila nakupenda


rbag hatari, hendisamu, andy surlbaran, mahundi jr na sasa sina nyama we mwanamke ww dah
 
Nilijua ni saint thomas ya hapa Atown
Ahhh haya mkuu naendelea kukesha kwa TF mpaka ahadi itimizwe
huyo TF mhuni tu,michango yote ya kumuuguzia dena kala huyo![/QUOTE]

Halafu sadaka za xmass na mwaka mpya kakusanya na kutokomea hatujui aliko.
 

Get well soon, you are my favourite
 
Pole sana DA....Uugue pole.

Asa TF nduguyo nimelazwa apoapo karibu na kwako mbn hukuniwekea sredi let alone kuja niona na mie?, au ndo mambo ya double standard?, hahahaha!
ww usiseme ugua pole, atachelewa kupona! Sema hivi pona haraka! Pokea uponyaji mwayego Dena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…