Get Well Soon Dena Amsi...

Ni vyema mkuu kukemea, lkn ni vizuri ujue anachoumwa, maana niliwahi ona mtumishi akimkemea mgonjwa wa minyoo!
 
Pole sana D.A. Hopefully you will get well very soon. Kunywa maji kwa wingi kama waweza fanya hivyo pia usipuuze kunywa vidonge
 
Pole sana DA.
Ninakuombea kwa Mungu upone haraka!
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.

dah! Pole mpendwa. Washa simu umpe mtu akupokelee aisee.
 
huyo TF mhuni tu,michango yote ya kumuuguzia dena kala huyo!

Halafu sadaka za xmass na mwaka mpya kakusanya na kutokomea hatujui aliko.[/QUOTE]
nasikia Husn kamfungulia TF RB oysterbay police,kisa kamkopa sasa sijui kamkopa nini?ukimwona mwambie 'wanted'!
 
jibibi na mimvi yangu waniita mtoto! Ngoja niangalie sheria za jf zinasemaje, hii itakuwa age calling.

jungu linatembea humu jf eti TF kakukopa,hivi amekukopa nini?
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.

ouh.... pole mamie get well sooner.
we miss you.
 
Ni vyema mkuu kukemea, lkn ni vizuri ujue anachoumwa, maana niliwahi ona mtumishi akimkemea mgonjwa wa minyoo!

Ninaweza:
_____________

Hata kama ni wewe leo unasumbuliwa na minyoo,wewe sema tu!
Mungu ninayemwamini hakika siyo wa kumjaribu kama ilivyo ADA ya baadhi ya watu.

Ana uwezo wa kumnyanyua aliyelala na akatembea!
NENO LINASEMA! Usidharau mahubiri ya Watumishi wake! Amen!
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.

Pole sana Dena Amsi, Mungu atakupa nguvu urejee hapa JF.
 
DA pole sana mpendwa and get well soon.

Happy New Year, to you too.
 
Pole sana D.A,
Hakika utapona haraka kwa uwezo wa mungu wetu.
 
Pole sana Dena, get well soon mamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…