we Kaba huo mkono unafanya nini hapo kwenye serewali?ahsante sana,naumwa kweli maumivu makali
hata bishanga niko kwenye orodha?Asanteni sana wote
Dena, hayo ni sehemu tu ya majaribu ambayo sisi wana wa Adam ni lazima tuyapitie duniani. naamini utapona na baada ya hapo utakuwa imara zaidi. Get well soonAsanteni sana wote
jungu linatembea humu jf eti TF kakukopa,hivi amekukopa nini?
simu yake niko nayo mimi,piga tu nitampokelea.
Well, kuna mtu anadai umekopwa!
nilipe nisepe. FASTAAAA!!;>
mi na Dena dam dam, hii ni tonic nampa,hutaki acheke kidogo?kuna watu ni noma kwa kuchakachua thread. Dah! Hadi threads za ugonjwa unachakachua!!
jungu linatembea humu jf eti TF kakukopa,hivi amekukopa nini?
nshakijua aisee!Bishanga, acha hizo! Hivi kweli unataka kujua alichokopwa?