Get Well Soon Dena Amsi...

kuna kanuni za usafi kny bible
 
Pole sana. Mungu akuponye na kukupa nguvu.
 
TF matunda yamekwisha
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.
Pole sana mamiii!
Kwa sasa naamin umeanza kuwa sawa!
Thanks Allah!
 
Pole sana DA, hope yale matunda nilompa TF akuletee aliyafikisha... Leo pia nimempa Husninyo juice ya azam imefika? Nakuombea upone upesi.
 
Pole sana DA, hope yale matunda nilompa TF akuletee aliyafikisha... Leo pia nimempa Husninyo juice ya azam imefika? Nakuombea upone upesi.

naumwa mafua, nimekunywa ile juice kutuliza.
 
Nimepata nafauu wapendwa niko mtandaoni sasa.

Asanteni sana wapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…