Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Tupo pamoja dada yangu, vipi unaendeleaje lakini?
Jamani, mungu atamponya mpendwa wetu.Madam bado anaumwa, na nimeambiwa ucku huu kuwa amerudishwa tena hospital, wamemwekea dripu, hali yake c nzuri, tumwombeeni apone