ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
asante dia, fungate lipo kama kawaida....tuliahirisha kwa muda ili nipate nafuu....yani nikashindwa hadi kuja ile jumamosi pale muhimbili wangu..
hahahaha! Afu wewee!! Umejuaje?
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa... hizo ni compex numbers!!!!hazigawanyiki hata kwa 1
asante mummy, saizi najiskia nafuu kidogo
hahaha tulivamia wapi wewe....sasa wewe hutaki watu wakumbatie totoz lako bwana wee vipi? totoz lenyewe zuri kweli kweli.