Get Well Soon "The Finest"

Wewe na Rocky dawa zenu ziko jikoni, hivi hakuna mtu anayeweza kunisaidia hizi dawa kati ya nyie wawili



Yamekua hayo tena?? (jamani what have i done wrong tena??) Huyu R' hafai nahisi tu kaharibu tena huko.....lol
 
Yamekua hayo tena?? (jamani what have i done wrong tena??) Huyu R' hafai nahisi tu kaharibu tena huko.....lol
Na mimi natafuta siku na tarehe kama ya jana nikulipizie ila dah sema ndio umeishaniwahi sina ujanja lol!
 

Pole sana TF mungu na akujalie upone upesi!

Pole Fynest huko ulipo...pona haraka!!!

Haka kamjamaa kumbe kanaumwa?

Lemme dial some numbers........

Ndo maana kaunta ya juu Castle za baridi hazipungui kaunta!

The Finest, pole sana Mdogo wangu!
Wengi tunakutakia upone haraka kuendelea na shughuli zako pamoja na kupata hekima zako hapa.

Get well soon Bro...

Hahaha Hommie hebu twende tukakacheki haka kamjamaa inawezekana ugonjwa anaoumwa ni wa kukosa bia!

pole saaana ila mungu yupo nawe na utapona

Pole sana M/kiti. Mwenyezi Mungu akurudishie afya yako haraka iwezekanavyo.

Ugua pole the Finest, Zingatia dawa , msosi upone haraka.

get well soon kijana

Aiseee, pole sana TF, Mungu atakujalia utarejelea afya yako soon.

Kale ka avatar kake ka zamani kanakonesa nesa ndo huwa kananikumbusha huyu "senior bachelor".

Get well brother! We are really missing u.

POLE DOGO..... ukipona ujibu hii thread

Hili ndio balaa la kuomba discount mpaka kwa mama ntilie, Food poisoning mbaya wajameni. Tujitahidini
Get well soon. kamanda

Halaf faza wangu aliniusia "mwanaume haumwi" , kuna day nilimwambia naumwa alinilamba bonge la mkono.

Pole fainest,preta mbo umeongolea viungo?ope sio nnachofikiria

Pole TF get well soon.

pole sana Mkuu,kuugua si kufa. Nalog off

a pole mnooo jamani...........
may almighty god be with him

Amini kwa Mungu utapona
pia tumia dawa kama ulivyoelekezwa
na daktari ili upone haraka

Pole TF.
M/Mungu akuponye haraka

Pole Mkuu TF get well soon.

dah..mpe pole bwana ndomana yupo kimya...

Get well soon chalii yangu,

pole TF skujua kama unaugua

Get well soon...

Hopefully he has recovered by the faith i have to his almighty the healer!


duh, kumbe huyu kamanda anaumwa? Pole mkuu...

oh Pole kamanda.....Get well soon mkuu...

pole sana mkuu, nakuombea kwa mungu upone haraka urejee jukwaani.......... tupo pamoja

pole sana THE FINEST

Pole sana......wishing you all the best for a fast recovery.

Ugua pole mkuu.

Pole sana TF,Mungu akujalie uwe na afya njema upesi
Wakuu nashukuru sana kwa salamu na pole zenu, Mungu azidi kuwabariki
 
Glad to see you fine, The Finest. Tena kwa kasi hii I can tell you are back in shape!
 
Kama ushapona mkuu, yule kimada kanivutia uzi kasema hela imeisha fanya fasta kabla hajakiripua
 
Wewe na Rocky dawa zenu ziko jikoni, hivi hakuna mtu anayeweza kunisaidia hizi dawa kati ya nyie wawili

Tuhuma tuhuma tuhuma
what have I done this time
Mkuu pamoja na juhudi zote za kukutafutia alikokuwa SLili aje akupikie supu na matango bado unaniletea tuhuma
AshaDii na wewe unajiunga kunipa tuhuma wakati ni wewe ulinishauri nimtafute SL akampikie supu PA
 
hahaha.... Sweetie is protecting me... I am not worried hapo....lol

nakutafuta sana maana umenipa tuhuma ambazo sina
PA wako naona kasharudi jukwaani ila bado anapepesuka sasa sijui ni dawa au ni wapi alipeleka nguvu
 



Hio ni tokana na the fact kuna maneno umempelekea PA jana (ile issue ilikamilishwa... Thank you, will pm lkn baadae saana)
 
Hio ni tokana na the fact kuna maneno umempelekea PA jana (ile issue ilikamilishwa... Thank you, will pm lkn baadae saana)

PA ana mambo yake bana
Mimi jana nilifikisha ujumbe tuu na wala sijaongeza neno sasa hayo mengine naona ananitafutia ugomvi bure
 
PA ana mambo yake bana
Mimi jana nilifikisha ujumbe tuu na wala sijaongeza neno sasa hayo mengine naona ananitafutia ugomvi bure



Kama nilivosema... Dawa yake ndogo.... Wee ngoja tu! lol
 
Naomba na mimi mniambie "get well soon" wajameni maana nimejikuta naiangalia hii avatar sana na nikajikuta naugua na nimepoteza nguvu za miguu hafla.

 
Naomba na mimi mniambie "get well soon" wajameni maana nimejikuta naiangalia hii avatar sana na nikajikuta naugua na nimepoteza nguvu za miguu hafla.


We Kloro una mambo yako wewe na wala hio sio get well soon ila wewe nenda bafuni ukumbuke hiyo picha halafu utajua mwenyewe matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…