The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Haha! Thanks MkuuMkuu TF...pole asee...
Nakutakia uponaji wa fasta.....biya zinakumisi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha! Thanks MkuuMkuu TF...pole asee...
Nakutakia uponaji wa fasta.....biya zinakumisi...
Wewe na Rocky dawa zenu ziko jikoni, hivi hakuna mtu anayeweza kunisaidia hizi dawa kati ya nyie wawili
Thanks Lutamayo and i thank God for his blessingsThanx lord you a feeling ok... Mungu akurejeshee afya tele uzima na urudi kwenye michakato yote ya dairly.
Na mimi natafuta siku na tarehe kama ya jana nikulipizie ila dah sema ndio umeishaniwahi sina ujanja lol!Yamekua hayo tena?? (jamani what have i done wrong tena??) Huyu R' hafai nahisi tu kaharibu tena huko.....lol
Asante mkuu nashukuru sanaUgua upone mkuu!
Thank you Mamndenyi
Pole sana TF mungu na akujalie upone upesi!
Pole Fynest huko ulipo...pona haraka!!!
Haka kamjamaa kumbe kanaumwa?
Lemme dial some numbers........
Ndo maana kaunta ya juu Castle za baridi hazipungui kaunta!
The Finest, pole sana Mdogo wangu!
Wengi tunakutakia upone haraka kuendelea na shughuli zako pamoja na kupata hekima zako hapa.
Get well soon Bro...
Hahaha Hommie hebu twende tukakacheki haka kamjamaa inawezekana ugonjwa anaoumwa ni wa kukosa bia!
pole saaana ila mungu yupo nawe na utapona
Pole sana M/kiti. Mwenyezi Mungu akurudishie afya yako haraka iwezekanavyo.
Ugua pole the Finest, Zingatia dawa , msosi upone haraka.
get well soon kijana
Aiseee, pole sana TF, Mungu atakujalia utarejelea afya yako soon.
Kale ka avatar kake ka zamani kanakonesa nesa ndo huwa kananikumbusha huyu "senior bachelor".
Get well brother! We are really missing u.
POLE DOGO..... ukipona ujibu hii thread
Hili ndio balaa la kuomba discount mpaka kwa mama ntilie, Food poisoning mbaya wajameni. Tujitahidini
Get well soon. kamanda
Halaf faza wangu aliniusia "mwanaume haumwi" , kuna day nilimwambia naumwa alinilamba bonge la mkono.
Pole fainest,preta mbo umeongolea viungo?ope sio nnachofikiria
Pole TF get well soon.
pole sana Mkuu,kuugua si kufa. Nalog off
a pole mnooo jamani...........
may almighty god be with him
Amini kwa Mungu utapona
pia tumia dawa kama ulivyoelekezwa
na daktari ili upone haraka
Pole TF.
M/Mungu akuponye haraka
Pole Mkuu TF get well soon.
dah..mpe pole bwana ndomana yupo kimya...
Get well soon chalii yangu,
pole TF skujua kama unaugua
Get well soon...
Hopefully he has recovered by the faith i have to his almighty the healer!
wapi mamaaaa Preta?
Wapi cheriiii Husninyo?
Wapi Bebi Bebii?
Wapi mupenzi SwitiiLedi?
Wapi ile mutoto ya nguvu Jux?
Ooooohhh Papaaa TF,
muzee wa pamba,
mukulu TF,
lodi wa madolali,
uko fashi ya wapi?
Ma femme wa mmu wanakula sumu juu yako,
hawakuoni,hawakusikii,
wanatamani maandiko yako,
pona haraka ukurudi mmu!!!!!
On a serious note:
pole sana ndugu yangu,be strong,tunakumiss aisee,
ukihitaji any help ndugu yangu ni PM.
On a light note:Umesikia maneno ya Aspirin? We mwache tu,tutampiga PI!
duh, kumbe huyu kamanda anaumwa? Pole mkuu...
oh Pole kamanda.....Get well soon mkuu...
pole sana mkuu, nakuombea kwa mungu upone haraka urejee jukwaani.......... tupo pamoja
pole sana THE FINEST
Pole sana......wishing you all the best for a fast recovery.
Ugua pole mkuu.
Wakuu nashukuru sana kwa salamu na pole zenu, Mungu azidi kuwabarikiPole sana TF,Mungu akujalie uwe na afya njema upesi
Na mimi natafuta siku na tarehe kama ya jana nikulipizie ila dah sema ndio umeishaniwahi sina ujanja lol!
Wewe na Rocky dawa zenu ziko jikoni, hivi hakuna mtu anayeweza kunisaidia hizi dawa kati ya nyie wawili
hahaha.... Sweetie is protecting me... I am not worried hapo....lol
Tuhuma tuhuma tuhuma
what have I done this time
Mkuu pamoja na juhudi zote za kukutafutia alikokuwa SLili aje akupikie supu na matango bado unaniletea tuhuma
AshaDii na wewe unajiunga kunipa tuhuma wakati ni wewe ulinishauri nimtafute SL akampikie supu PA
Hio ni tokana na the fact kuna maneno umempelekea PA jana (ile issue ilikamilishwa... Thank you, will pm lkn baadae saana)
PA ana mambo yake bana
Mimi jana nilifikisha ujumbe tuu na wala sijaongeza neno sasa hayo mengine naona ananitafutia ugomvi bure
Kama nilivosema... Dawa yake ndogo.... Wee ngoja tu! lol