Get Well Soon "The Finest"

Get Well Soon "The Finest"

pole sana mkuu the finest,get well soon,jf tumekumiss mnooo!
 
Pole sana mola akujalie upone haraka,tuendelee kujenga inji yetu inayoliwa na wachache.
 
Ku-deal na wewe na AshaDii inabidi niwe nimepona kabisa subirini tu lol!
pumzika kidogo kwanza mkuu upone kabisa,usiwe addicted sana na jf,manake ishu nyingine huku jukwaani ni za kuumiza sana kichwa na zinastahili utulivu.
 
Duh pole sana Finest, I hope you recover soon.. maana maswali mengine tumeshindwa kujibu. Nadhani iliripotiwa kuwa alipata ajali the other day. Tujulishane update yake wana ndugu.
 
Duh pole sana Finest, I hope you recover soon.. maana maswali mengine tumeshindwa kujibu. Nadhani iliripotiwa kuwa alipata ajali the other day. Tujulishane update yake wana ndugu.
Nashukuru Sana Mkuu hata mimi hizo habari nilizipata na kuna watu walinipigia kuniuliza nikawaambia sijapata ajali yoyote sasa sijui jamaa aliefanya hilo jambo alikuwa na nia gani
 
Back
Top Bottom