Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Gwiji la makeke hapa jamiiforums limekuja na msemo mpya unaosema MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA)
Hebu fikiria Mambo ambayo ukiyafanya unakuwa MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA
Mfano
Serikali inapiga kelele kuhusu korona wewe hujali as if HAKUNA kitu ukiwa hivyo ujue wewe ni mmwawauta aisee huu msemo nimeupenda Sana !
Gentamycine aka POPOMA amekuja kwa mbwembwe Sana!