FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MpwaKuna Watu hapa wanapenda sana ama waambiwe ni Mimi au wafananishwe na Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ila wamesahau tu ya kwamba kuwa " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " ni Tunu / Shani yake pekee Mwenyezi Mungu. Na pia usisahau kuwa kuna Watu hapa Jamvini JamiiForums ID's zao haziwezi Kujulikana haraka au kuwa Maarufu kama hawagombani nami au hawanichokozi. Wasinilaumu Mimi kuwa hivi bali wajilaumu Wao kwanini Mola / Maulana hakuwaumba na Zawadi zake nyingi alizonipa.
Cc: superbug
majamaa wameibiana mke nini??
MKUU NAHISI KUNA UGOMVI MKUBWA KATI YA HAWA JAMAA NA WANAJUANA VEMA KABISA.ASA CHA AJABU WANAJUANA VIPI WAKATI NI ID FEKI HIZI??? 😀
AU NI MTU MMOJA? 🤔
jembekilo kakuuliza swali
kuna mtu katafuniwa vyake hapoMKUU NAHISI KUNA UGOMVI MKUBWA KATI YA HAWA JAMAA NA WANAJUANA VEMA KABISA.ASA CHA AJABU WANAJUANA VIPI WAKATI NI ID FEKI HIZI??? 😀
AU NI MTU MMOJA? 🤔
mkuu embu jaribu kuwapatanisha aisee! kwa nafasi yako, ugomvi sio mzurii 😄😄MKUU NAHISI KUNA UGOMVI MKUBWA KATI YA HAWA JAMAA NA WANAJUANA VEMA KABISA.ASA CHA AJABU WANAJUANA VIPI WAKATI NI ID FEKI HIZI??? 😀
AU NI MTU MMOJA? 🤔
Mimi ninamidevu janaume lizalishalo Sasa cjui gentamycine ni jinsia gani ila nadhani ni ile jinsia isiyoshambuliwa Sana na covid 19Hua naona Smart na Mahondaw mmoja wao akipost chochote ana mkopi mwenzie je gentamycine na super bug na nyie mko kwenye mahusiano ya kimapenzi?
Unatumia nguvu nyingi
Hua naona Smart na Mahondaw mmoja wao akipost chochote ana mkopi mwenzie je gentamycine na super bug na nyie mko kwenye mahusiano ya kimapenzi?
Dan nyie mnanichanganya mnavokandiana ni kama mliwahi kuwa kwenye mahusiano yakavunjika kwa ugomvi. Mmoja atakauwa ex wa mwenzie so nilitaka kujua nani ni ex boyfriend na yupi ni ex gf..Brainiac ( Dume ) GENTAMYCINE anaweza akawa na Uhusiano wa Kimapenzi na Moron ( Jike ) superbug? Umeuliza Swali la ' Kipopoma / Kipumbavu ' sana Mkuu.
Dan nyie mnanichanganya mnavokandiana ni kama mliwahi kuwa kwenye mahusiano yakavunjika kwa ugomvi. Mmoja atakauwa ex wa mwenzie so nilitaka kujua nani ni ex boyfriend na yupi ni ex gf..