mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki.
Huwezi ukasimama hapa ukazungumza demokrasi, ambayo watu wengine ni wakutafuta. Unafika kwenye vikao afadhari hapa tumechanganyika. Kuna vikao unakaa mstari mzima ni watu wa aina fulani demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja wetu.