mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
CCM ina viongozi ambao hawatakufa milele.huyu Getu mwanae ni mkuu Wa mkoa Wa arusha, john mongela
I just love this mama very much...Very objective, exact and to the point. Her confidence amuses me so much.RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki.
Huwezi ukasimama hapa ukazungumza demokrasi, ambayo watu wengine ni wakutafuta. Unafika kwenye vikao afadhari hapa tumechanganyika. Kuna vikao unakaa mstari mzima ni watu wa aina fulani demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja wetu.
Kuna tatizo?huyu Getu mwanae ni mkuu Wa mkoa Wa arusha, john mongela
Usimwamini mwanasisaRAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki.
Huwezi ukasimama hapa ukazungumza demokrasi, ambayo watu wengine ni wakutafuta. Unafika kwenye vikao afadhari hapa tumechanganyika. Kuna vikao unakaa mstari mzima ni watu wa aina fulani demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja wetu.
Kuna tatizo?
Kama hawana qualifications sawa, lakini kama wana qualify basi ni dhambi kuzaliwa kuwa mtoto wa kiongozi?Mtoto mwingine yuko PCCB na mtoto wa mwisho yuko TISS. Kuna tatizo ndio
Mwenye kufahamu baba yao anyooshe kidole.Kama hawana qualifications sawa, lakini kama wana qualify basi ni dhambi kuzaliwa kuwa mtoto wa kiongozi?
Leta hoja nyingine siyo hii...Ukisema aliiba mali ya umma, au wakati wa ajira alipendelewa basi itakuwa ni hoja otherwise, hao pia ni raia wa Tanzania wana haki sawa na wenzao bila kujali wazazi wao ni akina nani
Utakuwa ni polisi mshika bunduki div IVMe sijamuelewa anaongelea nini kwakweli!
Na Kwenye uelewa wa PGO ni kihiyoUt
Utakuwa ni polisi mshika bunduki div IV
Ahahahaaaa [emoji28][emoji23][emoji1787]Ut
Utakuwa ni polisi mshika bunduki div IV
Long as siyo cloned being ujue wana baba yao...Sasa umfahamu ili iweje?Mwenye kufahamu baba yao anyooshe kidole.