Ewe uliyeteswa, kusononeshwa na kuonewa, una fursa ya kuonesha hasira zako. Huna pengine pa kusemea, sio kwenye media ama popote maana maoni yako hayatakuwa published.
Una njia moja tu ya kuitendea haki nafsi yako, nayo ni kupiga kura ya machozi hapo October 28. Ashinde asishinde wewe haikuhusu lakini utakuwa umeitendea haki nafsi yako na utalala usingizi mnono.