Gf kanimwanga,rafiki yake ananitaka.

Gf kanimwanga,rafiki yake ananitaka.

Kampini

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
140
Reaction score
28
Kuna binti ambaye nilifungua pazia mwenyewe lakini alivoingia chuo amenimwaga mwaaaa! Rafiki yake wa karibu sana ananitaka niwe naye kimapenzi,je nimkubalie huyu rafiki yake au kuna kamchezo wanataka kunichezea? Nawasilisha.
 
mhm...hapa its tricky
wee naona bora ukae mkao wa kumega na kuenjoy tuu
 
Mfanyie kama president david palmer wa 24 alivyokafanyia kale kabinti kasaidizi kake....mkubalie kisha mpe promice ya kumuona private huku ukimwandaa kimpodo mpodo akifika msogelee karibu mshike mikono kimahaba kisha mwambie neno moja tu 'sidanganyiiki' kisha sepa....then...
 
kwani ni lazima kuwa naye c utafute mwingne...au ww ndo wamtaka mkuu
 
mmege fasta huyo demu,usimcheleweshe asije akaghairi. Nalog off
 
We kula kitumbua then toka nduki mkuu.
 
hahaaa hawa Mabinti wakishaenda chuo huwa wanazuzuka sana, hata huyo rafiki yake atakubwaga vilivile potezea hivyo vitoto vya chuo cheki mambo yako mengine mzee usije ukatumia ubongo wako kufikiria sana kuhusu hivyo vitoto vya chuo
 
Kuna binti ambaye nilifungua pazia mwenyewe lakini alivoingia chuo amenimwaga mwaaaa! Rafiki yake wa karibu sana ananitaka niwe naye kimapenzi,je nimkubalie huyu rafiki yake au kuna kamchezo wanataka kunichezea? Nawasilisha.

Hivi nyie wavulana? Hamna kitu kupenda? Mwanamke akikutaka tu, lazima umvulie chupi? Heshima yenu inazidi kuporomoka!
 
Achana naye huyo. Je siku mkiachana na yeye rafiki yake naye akijileta, utakuja kutuuliza hapa JF??
 
Mwambie siku ya kuja kukutana naye,aje na rafiki yake aliyekumwaga.
 
Back
Top Bottom