Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
​kuwa makini hapa kuna UWALAKINI
kwani ni lazima kuwa naye c utafute mwingne...au ww ndo wamtaka mkuu
Issue cio nani anamtaka mwenzie, mabinti pia wanaruhusiwa kutongoza. Kama unampenda chukua mzigo muanze maishakwani ni lazima kuwa naye c utafute mwingne...au ww ndo wamtaka mkuu
Yeye ndo ananitaka!
Kuna binti ambaye nilifungua pazia mwenyewe lakini alivoingia chuo amenimwaga mwaaaa! Rafiki yake wa karibu sana ananitaka niwe naye kimapenzi,je nimkubalie huyu rafiki yake au kuna kamchezo wanataka kunichezea? Nawasilisha.
We kula kitumbua then toka nduki mkuu.