Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
JF Doctor,
ni muda sasa nimejitahidi kulichukulia suala hili kama la kawaida ila sasa naona nahitaji kujua zaidi................
ni kwamba nina rafiki wa kike ambaye ni mjerumani, nimekuwa naye kwa muda wa karibu miezi minne sasa na anachonishangaza ni kuwa tukimaliza tendo huchoka kiasi kwamba siku nzima inayofuata huwa hawezi kufanya shughuli yoyote akidai amechoka sana kutokana na tendo lile,.................. yaani hushinda amelala tu hata kuwasha computer hawashi hata email zake huniomba nimsomee...............
hili limemfanya kuwa "mbishi" kiasi kila nikipendekeza "tutembee".......... kama ana kazi siku inayofuata hakubali katu............ nami nimejikuta nikitaka kumfahamu zaidi badala ya kumuacha na kutafuta mchapa kazi..................
sasa Dr hivi hii ni hali ya kawaida?........... mbona sijawahi kuona tatizo kama hili kwa wengine?............. kama ni tatizo, linasababishwa na nini? na kinga/matibabu yake ni yapi?................ msaada please...............