Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi.
Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi yasiyochunguzwa wala kuulizwa na mamlaka nyingine. Imefikia wakati security anaweza kumkataa mfanyakazi na kublock kitambulisho chake kuzuia mfanyakazi kuingia kazini bila hata kumsikiliza wala kuhusisha mamlaka nyingine za uchunguzi kama polisi.
Kumekuwa na malalamiko makubwa especially kwa wafanyakazi wa contractor companies ambapo security wamekuwa wakituma ujumbe kwa uongozi wa kampuni husika kuwa hawamuhitaji mfanyakazi fulani. Security GGM wamekuwa wakichunguza na kutoa hukumu wenyewe bila aibu.
Wana kiburi na jeuri kuwa hata mfanyakazi akienda mahakamani na kushinda kesi watamlipa!
Tunaomba vyombo husika na GGML wenyewe waangalie namna security inavyonyanyasa Watanzania na kukiuka haki za msingi za wafanyakazi.
Wafanyakazi wana haki ya kusikilizwa kabla ya maamuzi na sio kufanya maamuzi ndo umpe mfanyakazi haki ya kusikilizwa. Na kwa makosa ambayo ni ya polisi wayapeleke polisi wayachunguze!
Acheni uhuni!