a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Fedha zako,mali zako,DHAHABU,utajiri wako HAUTAKUSAIDIA siku ya GHADHABU Hasira ya Mungu.
Kumbuka wakati wa UGONJWA WA KORONA ulipoingia hakukuwa na tofauti kati ya TAJIRI NA MASIKINI kati ya mugeshimiwa sana ,boss,mtu mwenye umashuhuri na mtu duni commoners.
Wote walilia kilio kimoja,hakukuwa na WA kusema Mimi nitapanda ndege niende NIKATIBIWE ULAYA nje ya NCHI UGONJWA huu WA KORONA kote waliweka LOCK DOWN hakuna kuingia Wala kutoka.
Ndivyo itakavyokuwa hakuna ndege zitaruka angani,hakuna pa kukimbilia kila mmoja atalia kilio,si TAJIRI Wala si masikini.UTAJIRI WAKO HAUTAKUSAIDIA,FEDHA ZAKO NA DHAHABU YAKO...NA UMASHUHURI WAKO HAUTAKUSAIDIA siku ya GHADHABU ya MUNGU.
Hakutakuwa na BOSS Wala mtumwa,hakutakuwa na atakayejiona MJANJA Wala MJINGA wote watakuwa ni WANADAMU hakutakuwa na kingine Cha kukusaidia zaidi ya wote KUBAKIZA TUMAINI MOJA TU LA KUMTUMAINIA MUNGU PEKEE.
watu hawatazitumainia MALI ZAO,NAFASI ZAO,AKILI ZAO ,NGUVU ZAO...wote watabakiza TUMAINI MOJA TU LA KUMTUMAINIA MUNGU TU.
Maovu yamezidi,ukatili umezidi,damu zimemwaga ardhi imenajisiwa,uovu ni mwingi ni zaidi ya SODOMA NA GOMORA.
watu wengine Huwa wanasema Mungu hayupo kama yupo mbona haoni mateso makali mbona hasikii kilio hiki,wengine wamekata tamaa wanaona Hukumu ya Mungu inachelewa,WATENDA MAOVU wao ndio HUSEMA MUNGU HAYUPO na kufikia kusema habari za mafundisho ya GHADHABU ya MUNGU kama mafuriko ya wakati wa NUHU NI UONGO ,wengine hufikia kusema Mungu HANA HASIRA ana UPANDE MMMOJA TU WA UPENDO NA REHEMA ,ule upande WA HASIRA ya Mungu wanaupotezea ni kama vile vijana WA kisasa wanavyosema BABA HANA NOMA sio mkali Hana HASIRA hata NIKIMKOSEA KIASI GANI hataniadhibu,Okey okey SAWA SAWA.