Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

Wapumbavu sana hao watu hata kuku hawezi panda kifaranga
 
kubishana na watu wanaoamini kilema mlemavu anaweza pona kwa mikelele ya mchungaji !!!!

ndio awa awa wanaona miaka 8 ya bint nijambo baya zaid!!! Kuliko Maaskofu kibao wenye kesi za kulawiti watoto wakiume kesi zipo Dunian kote!!!!

mtoto wa kiume !! !¿¿ na bint miaka nane !!!!!¿¿ duu pia mnaona uyo shekhe ndio mkosaji zaid daaaa kweli dini ni upofu !!!!

Mwanaume anaingilia na kiongozi wa kiroooo kwao poaaaa tuuu akuna UZI kawaida tu.

... tumewasoma walokole akili zenu mnazijuaga wenyewe kuna wale Wasabato walitaka kwenda ULAYA kupeleka injili wameenda Air port awana chochote zaid Bible zao. !!!

Akili ni bidhaa muimu sana. Mungu akikunyima lia sana !!

.. mchungaji Joseph Kibweteere w Uganda kauwa watu 700 kanisani wenu mchungaji paul mackezie w kilifi Kenya nae katoa rooo za kutosha wenu pia basi mumebarikkwa sana !!!!

kwaiyo mngekuwa ndio majaji w Mahakama mngetoa ukumu kwa uyu Shekhe kosa lake miaka 8 ivyo Uislamu upigwe marufuku..!!!!

Dini yenu kwenye jamiii imetenda uchafu mwingi sana changanya na mauaji mengi kibwe 700 kenzi idadi aijulikani zaid 190 + jumla 890 inch mbili 2 izo !!!!

Kashfa ya Albino namo mmo tena kitoto kimeuwawa kabisa !!!!

Ningekuwa ndio jaji bado nisingefuta Ukristo nimgeachia msalaba wenu mpambane nao wenyewe.!!!!

Watu wamekufa wengi wakiamini Uyesu!!!! Kawe wapo watu wameama kukwepa bugza ya msongamano!!!!

watu wanatoka kigambon mbagala kinondoni Buza kigogo pugu gongolamboto Tegeta goba kimara Ubungo Manzese Tabata Segerea mbezi Makongo wate wakajae seem moja !!!

Unajiuliza kwani uko watokako Yesu ayupo awezi kuskia maombi yao akuna Makanisa!!!¿¿.

Au mungu alinunuliwa na yule mjomba wa Kawe ivyo kamficha Kawe tu.. !!!!

muislamu uwezi kumwita atoke kawe aje mbagala ujinga uwo mnao Waksrito pekeyenu !!!!

usumbufu kibao Daladala mwisho wa siku kuga kukanyagana watu pasi na Umuimu!!! Mashida yote ayo bado mnaona Waislamu wana imani mbaya kiasi mnatamani ifutwe!!!!
 
Anadumisha Mila ya swalala alii wa salamu aliyeunda dini ya amaan duniani
 
Mlokole makosa yake yanakupa uhalali gani wa kubaka watoto. Unajisikiaje mwanao wa miaka 8 aache shule aolewe.
 
Ni kweli hao viongozi wa dini wamefanya hayo maovu. Walifanya kwa utashi wao na si kwa kufuata maandiko wala maelekezo yeyote toka kwenye Biblia. Na hata walivyofanya hayo maovu hakuna mkristo hata mmoja aliyewaunga mkono ama kufurahia.Na hata Bwana Yesu alishatuambia kuna watu wamevaa ngozi za kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu. Ndio hao wanaojificha kwenye dini kufanya maovu.
Kinachotushangaza sisi ni vile binti wa miaka8 kuolewa halafu nyie mnasupport kabisa kwa kusema dini inaruhusu.
 
Amesema UISLAM MUHAMAD pamoja na zile za Shafii ziliruhusu ndoa za utotoni,hii ni hatari sana kwa hii dini...
 
Kwaiyo viongozi wako wa kiroo wamefanya matendo mabaya kwa Utash wao sio Dini ok!!!

Sasa kwanini nyinyi msimuone uyo Shekhe kama niyeye ndio mkosaji sio Dini yake !!!!

kwanini jambo likiwa kwa Shekhe liwe la Dini y Kislamu !!!

lkn likiwa la Askofu Mchungaji Kasisi lile lake yeye kama yeye sio Dini yake!!!!

Mnatumia vigezo gani uku mna changanya mwalifu na Imani yake uku mnakataa kumchanganyq mwalifu na Imani yake !!!!!

mbaya zaid uyu shekhe kaoa mtaani uko Sio msikitini wkt awa Ma Askofu wametendea Unyama wao kwenye Maeneo yanayomilikiwa na Makanisa !!!??

pia umesema kuna wanaomuunga mkono kina nani wanaomuunga mkono uyo Shekhe??
 
Mlokole makosa yake yanakupa uhalali gani wa kubaka watoto. Unajisikiaje mwanao wa miaka 8 aache shule aolewe.
Mimi sijaunga mkono jambo la uyo Shekhe ila nashangaa vile Wanafiki wakubwa kwamba Shekhe akifanya jambo baya ndio mnashobokeaaa!!!

lkn uko kwenye Imani yenu yanafanyika makubwa zaid lkn amshobokii mnaona kama ni sawa tu japo ni matukio Mabaya sana !!!!

nimeweka mfano Albino mfano mwengine Vitoto vyakiume kulawitiwa Wachungaji wenu wauni sana kiasi juzi kati kuna mchungaji kanasa kwenye Mbunye ya mke wa mtu.. !!!!

Habari kama izo mbona amshobokei je uyo mchungaji angekuwa ndio Shekhe dooo ingekuwa ndio Habari kubwa kwenu!!!!

Au Shekhe akutwe na mambo ya Albino dooooo Jf pangewaka Je uwo sio Unafiki!!
 
Natamani ningekuwa ni jirani yako halafu uwe na bint wa miaka8 nisilimu kisha nimuoe bint yako wa umri huo.
Ila imani nyingine hapana kwa kweli.
Muwe hata na huruma jamani. Mtoto wa miaka8 unavyokuwa unashiriki nae hata nafsi yako haikuumi?.!.
Lakini mtume alioa miaka 6.
Uisilam ni dini ya haki
 
Uungwana ni kulaani kwanza upumbavu wa huyo sheikh wenu na sio kutafuta mafaili ya nyuma na makosa ya dini zingine ili utetee dini yenu chafu. Na WAKRISTO au yeyote alifanya uovu tutamlaani hivyo hivyo. Pili hujui tunaolaani ujinga huu sisi ni dini au madhehebu gani. Kwa sehemu kubwa unapingwa na watu wa dini zote unapotetea ushetani huu hata na waislam wenzako.
 
Kuna wenzio wanaona ni halali tena kwa kejeli eti bora huyo anayemuoa bint mdogo kuliko askofu anayelawiti. Wakati issue za ulawiti kwa watoto zimekuwa zikiripotiwa toka kwenye dini zote.
Kiufupi dini yenu imekaa kiutata Sana. Maana mnashabikia hata kuua asiyekuwa wa Imani yenu. Na pia dini imekaa kiuchoyo uchoyo tu. Maana Ramadhan hii niliona jinsi hadi mashekh wanavyowamaindi waislam wenzao walioalika Wakristo kula nao futari.
Mtaendelea kuwa na ghubu hadi mnaingia kaburini.
 
Umeumia sana maana si kwa povu hilo kisu kimegusa mfupa. We umeoa wangapi wa umri huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…