Dodoma kuna vumbi tumekuja kuwazuga tu kisha tunarudi zetu kivukoni ambapo tunakula samaki kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Je una undugu na Meja Kunta?Dodoma kuna vumbi tumekuja kuwazuga tu kisha tunarudi zetu kivukoni ambapo tunakula samaki kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipokuwa na maono ya kuhamia dodoma, ilikuwa ni kuepuka majanga kama hili la corona virus lisiwapate maana mpaka lifike dodoma wao wameshajihami vya kutosha.Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.
Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?
Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.
Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Konta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.
Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?
Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.
Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Konta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Hata viongozi wakuu wa Chadema wote wako Dodoma!Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.
Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?
Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.
Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Kunta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Tumeambiwa tuchape kazi maana Corona si zaidi ya ajali wala malaria wala UKIMWI. Ila aliyetuambia hivyo katuachia msala yeye kaamua kula kona.Wewe Pambana na Covid 2019
Kaka kwenye afya kila mtu atabeba msalaba wake
Dar corona kama kweli ikikaza buti hata wewe utapita njia ya mkato kuelekea huko Nanjilinji
Usilete mzaha umeona Italia watu 400 mpka 600 kila siku
Huko Italia wao walikula bata na kuishi kama wewe sasa bila tahadhari
Chukua tahadhari mkuu, usiishi kwa mazoea
Tupo na Mbowe na Mnyika hapa Chako ni chako jijini Dom tunapata ugali na sato!Bwashee kumbe mshua wako hana kifua kabisa!
Italy serikali wamekata tamaa,hili janga limewashinda. PM wao amesema hakuna majibu duniani,wanasubiri toka angani(sala na maombi).Wewe Pambana na Covid 2019
Kaka kwenye afya kila mtu atabeba msalaba wake
Dar corona kama kweli ikikaza buti hata wewe utapita njia ya mkato kuelekea huko Nanjilinji
Usilete mzaha umeona Italia watu 400 mpka 600 kila siku
Huko Italia wao walikula bata na kuishi kama wewe sasa bila tahadhari
Chukua tahadhari mkuu, usiishi kwa mazoea
Huyo mtu atapigwa shaba chaaapWatakuelewa wenye akili kama mimi, ila siku akionekana mtu fulani pale mitaa ya nane nane ana kohoa na kubanwa na kifua huku akiharisha utasikia watu wanaomba likizo kwenda kanda ya ziwa. G Sam,
In God we Trust
Anashinda CHATO hapo anapitaga tu. Ila mara nyingi yuko Chato.Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.
Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?
Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.
Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Kunta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Inaonyesha corona haina nauli ya kufika huko😂😂Hata viongozi wakuu wa Chadema wote wako Dodoma!
Tumeambiwa tuchape kazi maana Corona si zaidi ya ajali wala malaria wala UKIMWI. Ila aliyetuambia hivyo katuachia msala yeye kaamua kula kona.