Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Unataka ujue yuko wapi ukamdhuru?Mwenyekiti yupo wapi?? Namzungumzia yule wa Ufipa lakini>>>>>
In God we Trust
Unataka ujue yuko wapi ukamdhuru?Mwenyekiti yupo wapi?? Namzungumzia yule wa Ufipa lakini>>>>>
Kwahiyo ni siri??Unataka ujue yuko wapi ukamdhuru?
In God we Trust
Kwahiyo ni siri??
Unamawazo ya kishetani sana mkuu. Punguza.Unataka kumpyuuuu, pyuuuuuu?
In God we Trust
Kwani wewe wamekufanya nini bwashee?!!
Aisee hii code wataielewa wachache sanaWatakuelewa wenye akili kama mimi, ila siku akionekana mtu fulani pale mitaa ya nane nane ana kohoa na kubanwa na kifua huku akiharisha utasikia watu wanaomba likizo kwenda kanda ya ziwa. G Sam,
In God we Trust