Ghafla bin vuu Serikali yote imehamia Dodoma, matamko yote yanatolewa ndani ya viunga vya ugogoni!

Mara paap wachina wametoa toleo jipya covid 19 S Plus


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
CORONA CORONA CORONA....
Bebi tucheze rhumba kigogo😀😀😀
Alisikika akiimba mwanamuziki mmoja

Everyday is Saturday......................😎
 
Write your reply...Watoto, hata nyani hulala mataw ya juu zaidi kuliko watoto wao
 
Kakimbia corona kishkaji katuacbia huku kule aliko ni sehemu ya kipekee yuko mbali ya makazi ya watu
 
Nimeshobokea Uzi huu bila kujua, mimi nilijua serikali yote imepata CORONA kumbe mada ya kijinga,..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuelewa wenye akili kama mimi, ila siku akionekana mtu fulani pale mitaa ya nane nane ana kohoa na kubanwa na kifua huku akiharisha utasikia watu wanaomba likizo kwenda kanda ya ziwa. G Sam,

In God we Trust
Mwenyekiti yupo wapi?? Namzungumzia yule wa Ufipa lakini>>>>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…