Pre GE2025 Ghafla Chadema ndio wanamuogopa Tundu Lisu tofauti na awamu ya Magufuli ndio ilikuwa inamuogopa Lisu, kulikoni?

Pre GE2025 Ghafla Chadema ndio wanamuogopa Tundu Lisu tofauti na awamu ya Magufuli ndio ilikuwa inamuogopa Lisu, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni CCM ndiyo wanamuogopa Lissu ndiyo maana wanafanya colabo na Mbowe kuhakikisha hawi mwenyekiti wa Chadema.
Mbowe akiendelea kung'ang'ania hiyo nafasi, Yale maneno ya kwamba cdm ni saccos yake yatathibitika. atabaki yeye na machawa yake machache yanayonufaika na utawala dhalimu. watu wanaojielewa hawawezi kubaki kwenye uduwanzi wa kinyondi.
 
Joh ukweli hamsemi ccm ndiyo wanamwogopa Lissu zaidi, wanachama CDM ni kwamba tumetofautiana na waliowengi tunataka mabadiliko.... Wajumbe wanaendelea kutafakari kwa kina wanapokwenda kufanya uchaguzi.

Mambo ya USA na Trump yanaweza kutokea CDM...stay tune Joh
 
Hahaha nani amuogope Lisu?

Mwanasheria anayeenda kwenye vyombo vya habari kueleza aliyoyasikia vijiweni, na aliyoambiwa na wahuni, bila hata kuyathibitisha.

Mnamdanganya sana huyo Lisu.

Kwa hivyo mnao mwambia kweli mwamba ni wewe, yeriko na abduli?

GfuZZOtbEAALNeE.jpeg

Oneni japo aibu basi?
 
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni

Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?

Kuna Siri gani?

Nimekaa pale 🐼
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni

Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?

Kuna Siri gani?

Nimekaa pale 🐼

Waovu siku zote hawataki mtu anayesimamia sheria .

Kiongozi ni mbeba maono katika jamii. . Ukibeba maono bila kujua sheria unageuka kuwa dikteta kama Mbowe . Mana utaongoza kwa hisia zako na unavyoona bila kujali sheria inasemaje ?

Leo Chadema hakimtaki mtu anayesimamia sheria na wanamuona ni hatari kuliko wale wa CCM wasiojua sheria wala katiba ya nchi na kuiita kijitabu tu .

Kuna shida kwa genge la Mbowe .

Huu uchaguzi umetumika kumdhalilisha sana Lisu . Sasa cha msingi atakaye shinda apambane na hali yake na kujenga chama anavyoona mwenyewe . Mbowe aliachiwa chama na kundi la watu wenye akili la Lisu na wanaharakati chama kitakufa kabisa .

Lakini Lisu akiachiwa chama na Mbowe akenda Machame kunywa Mbege Lisu na kundi lake lenye akili kubwa watakipekeka chama mbele na hata kuingia Ikulu.

Hapa atakayeshinda apambane na hali yake .

Lisu asikubali kabisa kujihusisha na siasa za Mbowe za udalali ,ufisadi,ulevi,uhuni,utapeli,udikteta , rushwa za ngono n.k.
Kwa chuki walizo nazo wa Mbowe na genge lake haifai kabisa kukaa nao meza moja baada ya uchaguzi . Ni wazi sasa kuwa Mbowe hua ni mtu hatari sana linapokuja suala la Uenyekiti hana tofauti na CCM linapokuja suala la madaraka .
 
Kwa hivyo mnao mwambia kweli mwamba ni wewe, yeriko na abduli?

View attachment 3188715

Oneni japo aibu basi?
Sisi ndio tunamwambia ukweli. Tulimwambia achukue fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti taifa CDM, tulimwambia asiwe mpiga kelele, majungu na fitina za uongo.

Tulimwambia asiende club house kupiga soga za uongo na upotoshaji.

Na tulimwambia awe mtetezi na mtunza siri za vikao, na aheshimu maamuzi ya vikao halali vya chama.

Tulimwambia asiwe mropokaji, na muongea hovyo na uongo.

Tulimwambia ajiheshimu na aheshimu watu wote.

Tulimwambia asijikuze na kudharau watu wote.

Nyie mgombea wenu mna mshauri nini, AVAE BULLET PROOF MWILI MZIMA, Akeshe club house kuropoka habari za vijiweni?
 
Mwambieni asipokee simu na mdahalo asije, ataumbuka:

Gfn6YE-XkAATunC.jpeg

Hana hoja!
 
Back
Top Bottom