Pre GE2025 Ghafla Chadema ndio wanamuogopa Tundu Lisu tofauti na awamu ya Magufuli ndio ilikuwa inamuogopa Lisu, kulikoni?

Pre GE2025 Ghafla Chadema ndio wanamuogopa Tundu Lisu tofauti na awamu ya Magufuli ndio ilikuwa inamuogopa Lisu, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Athibitishe kutokea kwenye mdahalo.
Athibitishe kwa nani, kwako?

Mdahalo hauna tija yoyote.

Nafasi anayogombea ni ya kichama siyo ya taifa.

Afanye mdahalo kwa faida ya nani, ili iweje?Tumia akili vizuri.

Tofautisha mgombea wa urais na mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.

Watanzania wote siyo CDM, tofauti na mgombea wa urais anaongoza hata ambao hawana vyama.
 
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni

Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?

Kuna Siri gani?

Nimekaa pale 🐼
Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu, wafuasi wa Makamu acheni wenge, subirini uchaguzi, wekeni akiba ya maneno.
 
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni

Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?

Kuna Siri gani?

Nimekaa pale 🐼
Lissu ni mwanamageuzi.
 
Mzee mbowe apumzishwe ili iwe funzo kwa ving'ang'anizi wengine.
 
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni

Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?

Kuna Siri gani?

Nimekaa pale 🐼
Ewe maamuma tuambie Chadema wa kutoka wapi wanamuogopa Lissu..
 
Lisu kawaharibu akili zenu kabisa.

Yani mfanye mdahalo kumtafuta mwenyekiti wa chama?

Kweli mihemko emewaharibu akili mmekuwa mazombie kabisa.

IMG_20241225_180332.jpg

Hadi Lwaitama ila msiosoma nyie?
 
Mbowe kafeli kuijenga CDM yenye maadili, wote wananuka rushwa na ufisadi.
 
Hahaha nani amuogope Lisu?

Mwanasheria anayeenda kwenye vyombo vya habari kueleza aliyoyasikia vijiweni, na aliyoambiwa na wahuni, bila hata kuyathibitisha.

Mnamdanganya sana huyo Lisu.
Chawa kwenye ubora wako
 
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni

Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?

Kuna Siri gani?

Nimekaa pale 🐼
Hakuna mtu wa CDM wa kumwogopa Lissu - yaani yule atapigwa dafulao hadi ajute.
Ataondoka kwenda TLP na CDM itabaki salama, Mbowe akiondoka tutatafuta mtu wa maana kumkabidhi kijiti - CDM ni brand brazaa.
 
Sisi ndio tunamwambia ukweli. Tulimwambia achukue fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti taifa CDM, tulimwambia asiwe mpiga kelele, majungu na fitina za uongo.

Tulimwambia asiende club house kupiga soga za uongo na upotoshaji.

Na tulimwambia awe mtetezi na mtunza siri za vikao, na aheshimu maamuzi ya vikao halali vya chama.

Tulimwambia asiwe mropokaji, na muongea hovyo na uongo.

Tulimwambia ajiheshimu na aheshimu watu wote.

Tulimwambia asijikuze na kudharau watu wote.

Nyie mgombea wenu mna mshauri nini, AVAE BULLET PROOF MWILI MZIMA, Akeshe club house kuropoka habari za vijiweni?
Lissu hapo kwenye neno kutunza siri ndio anaeleweka sana, chama sio cha kamati kuu chama ni mali ya uma why kuwe na siri, siri za nini kwa wanachama?

Kwamba kuna mambo ya chama wanachama wengine hawapaswi kuyajua?, Mbowe kachoka hana tena ajenda aachie chama na kama unabisha ngoja achukue uone hali itavyokuwa mbaya watu hawana matumaini nae tena
 
Mbowe ahitaji matumaini wala imani zenu.

Agenda anazo Lisu tu?

Lisu aanzishe chama mumfuate huko.

Wakiondoka ndio vizuri, chama kitabaki mikononi mwa wanachama wastaarabu.

Mmezidi kelele, kama watoto.
 
Lazima wamwogope. Jamaa kuna sikurubu zimelegea matairi yanaweza kuchomoka wakati wowote. Wewe huoni anavyo-trash talk kila mtu, chama, wanachama wenzie, viongozi wenzake, nk? Na ameshasema wazi kuwa chadema siyo mama yake!?
 
Mbowe akiendelea kung'ang'ania hiyo nafasi, Yale maneno ya kwamba cdm ni saccos yake yatathibitika. atabaki yeye na machawa yake machache yanayonufaika na utawala dhalimu. watu wanaojielewa hawawezi kubaki kwenye uduwanzi wa kinyondi.
Democracy ya CHADEMA ni ipi kama kabla ya kupiga kura na kumpata mshindi kinalazimisha Mbowe akubali kushindwa?
 
Back
Top Bottom