Mkimuhitaji atakuja, kwa akili zenu mnamuogopa hata kumpelekea mualiko.
Simu apokee za nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkimuhitaji atakuja, kwa akili zenu mnamuogopa hata kumpelekea mualiko.
Mkimuhitaji atakuja, kwa akili zenu mnamuogopa hata kumpelekea mualiko.
Simu apokee za nini?
Athibitishe kwa nani, kwako?Athibitishe kutokea kwenye mdahalo.
Lisu kawaharibu akili zenu kabisa.Athibitishe kutokea kwenye mdahalo.
Mithali 18Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Lissu ni mwanamageuzi.Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Ewe maamuma tuambie Chadema wa kutoka wapi wanamuogopa Lissu..Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Lisu kawaharibu akili zenu kabisa.
Yani mfanye mdahalo kumtafuta mwenyekiti wa chama?
Kweli mihemko emewaharibu akili mmekuwa mazombie kabisa.
Chawa kwenye ubora wakoHahaha nani amuogope Lisu?
Mwanasheria anayeenda kwenye vyombo vya habari kueleza aliyoyasikia vijiweni, na aliyoambiwa na wahuni, bila hata kuyathibitisha.
Mnamdanganya sana huyo Lisu.
Hakuna mtu wa CDM wa kumwogopa Lissu - yaani yule atapigwa dafulao hadi ajute.Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Lissu hapo kwenye neno kutunza siri ndio anaeleweka sana, chama sio cha kamati kuu chama ni mali ya uma why kuwe na siri, siri za nini kwa wanachama?Sisi ndio tunamwambia ukweli. Tulimwambia achukue fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti taifa CDM, tulimwambia asiwe mpiga kelele, majungu na fitina za uongo.
Tulimwambia asiende club house kupiga soga za uongo na upotoshaji.
Na tulimwambia awe mtetezi na mtunza siri za vikao, na aheshimu maamuzi ya vikao halali vya chama.
Tulimwambia asiwe mropokaji, na muongea hovyo na uongo.
Tulimwambia ajiheshimu na aheshimu watu wote.
Tulimwambia asijikuze na kudharau watu wote.
Nyie mgombea wenu mna mshauri nini, AVAE BULLET PROOF MWILI MZIMA, Akeshe club house kuropoka habari za vijiweni?
Mbowe ahitaji matumaini wala imani zenu.Lissu hapo kwenye neno kutunza siri ndio anaeleweka sana, chama sio cha kamati kuu chama ni mali ya uma why kuwe na siri, siri za nini kwa wanachama?
Kwamba kuna mambo ya chama wanachama wengine hawapaswi kuyajua?, Mbowe kachoka hana tena ajenda aachie chama na kama unabisha ngoja achukue uone hali itavyokuwa mbaya watu hawana matumaini nae tena
Democracy ya CHADEMA ni ipi kama kabla ya kupiga kura na kumpata mshindi kinalazimisha Mbowe akubali kushindwa?Mbowe akiendelea kung'ang'ania hiyo nafasi, Yale maneno ya kwamba cdm ni saccos yake yatathibitika. atabaki yeye na machawa yake machache yanayonufaika na utawala dhalimu. watu wanaojielewa hawawezi kubaki kwenye uduwanzi wa kinyondi.
Lissu ni mbabe sana na hapendi mchezoChadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Kura ni siri na rushwa ni siriAina shida tuwatambue kina Nani hao