johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe akiendelea kung'ang'ania hiyo nafasi, Yale maneno ya kwamba cdm ni saccos yake yatathibitika. atabaki yeye na machawa yake machache yanayonufaika na utawala dhalimu. watu wanaojielewa hawawezi kubaki kwenye uduwanzi wa kinyondi.Ni CCM ndiyo wanamuogopa Lissu ndiyo maana wanafanya colabo na Mbowe kuhakikisha hawi mwenyekiti wa Chadema.
Lissu pasua kichwaChadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
sijui ni kwanini dunia haiwataki watu wa kweli walionyookaLissu pasua kichwa
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
pia tuwajue watakaopewa jukumu la kusimamia huo uchaguziAnayejua Majina ya hap wajumbe 1200, ayaweke hadharani, ili tuwe tuna pita kuwasalimu na kuwakumbusha.
Sanapia tuwajue watakaopewa jukumu la kusimamia huo uchaguzi
Rushwa imetumikaChadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Wengi wamevuta rushwa ni ngumu snAnayejua Majina ya hap wajumbe 1200, ayaweke hadharani, ili tuwe tuna pita kuwasalimu na kuwakumbusha.
Hahaha nani amuogope Lisu?
Hahaha nani amuogope Lisu?
Mwanasheria anayeenda kwenye vyombo vya habari kueleza aliyoyasikia vijiweni, na aliyoambiwa na wahuni, bila hata kuyathibitisha.
Mnamdanganya sana huyo Lisu.
Lissu anaweza kuamsha wadanganyika kutoka umautini,, pia hana simile akikwaa madaraka kuna watu wanawezafungwaChadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Aina shida tuwatambue kina Nani haoWengi wamevuta rushwa ni ngumu sn
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
Sisi ndio tunamwambia ukweli. Tulimwambia achukue fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti taifa CDM, tulimwambia asiwe mpiga kelele, majungu na fitina za uongo.Kwa hivyo mnao mwambia kweli mwamba ni wewe, yeriko na abduli?
View attachment 3188715
Oneni japo aibu basi?
Sisi ndio tunamwambia ukweli. Tulimwambia achukue fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti taifa CDM, tulimwambia asiwe mpiga kelele, majungu na fitina za uongo.
Tulimwambia asiende club house kupiga soga za uongo na upotoshaji.
Na tulimwambia awe mtetezi na mtunza siri za vikao, na aheshimu maamuzi ya vikao halali vya chama.
Tulimwambia asiwe mropokaji, na muongea hovyo na uongo.
Tulimwambia ajiheshimu na aheshimu watu wote.
Tulimwambia asijikuze na kudharau watu wote.
Nyie mgombea wenu mna mshauri nini, AVAE BULLET PROOF MWILI MZIMA, Akeshe club house kuropoka habari za vijiweni?