BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hii nchi ya kishenzi sanaHii nchi ya Tanzania ukiamua kufa kwa stress au umasikini basi utakua umejitakia mwenyewe...
Umesema kweli tupuKuna wajinga wataenda hadi uko ikwiriri akawatatulie shida zao kwa njia za kishirikina,na hivi ana sauti Fulani ya mkwara ya kuita majini,lazima awapige wazembe uyu muhuni wa mzizima, hawezi kuwaacha salama, kama babu wa loliondo.
Ni hulka ya binadamu kupenda vitu vipya vyepesi kila uchao.. Vitu vigumu hukimbiwaHii nchi ya Tanzania ukiamua kufa kwa stress au umasikini basi utakua umejitakia mwenyewe.
Unaweza kiutani utani tu ukawa maarufu na ukapiga pesa. Huyu anajiita Mzee Mpili eti kwa sasa ni mtu maarufu Tanzania, anaalikwa hadi na vituo vya redio kubwa maarufu kama wasafi FM...
Na yanga wakishinda tena kgm umarufu wa dingi utazidi hata kama yanga wanashinda kwa kubahatisha tz maajabu hayawezi kuisha.Nakubaliana na wanaosema "Tanzania kuna ujinga mwingi". Kuna kipindi Piere Liquid alikuwa maarufu hadi akalipiwa gharama kusafiri na timu ya Taifa. Leo tena Mzee Mpili kisa tu aliyosema kwamba Yanga itaofunga Simba goli 2 yakiwa machache 1 basi mashabiki wa timu zote wanaimba Mpili Mpili kwa namna tofauti.
alisikika shabiki wa simba mwenye uchungu na timu yake. ukweli ni kwamba mambo ya mpili ni mind game tu hamna uharisia, ila tu ni ku take attention ya timu pinzani na kuwafanya wapunguze confidenceKwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikitafakari sana Promo anayopewa Mzee mmoja anayeitwa Mpili.
Ambalo nimekuja kugundua sisi Watanzania ni watu wa kuamini kuwa uchawi/ushirikina ni njia ya kuleta mafanikio.
Wengi hawaamini kwamba kujiamini,kupanga mipango,kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwa na nidhamu kama misingi ya mafanikio.
Inahuzunisha sana kwa kushabikia ushirikina kama njia ya maa
Kwa akili yako ndogo unahisi kila mtu anayemshabikia Mzee Mpili anaamini ushirikina?mfano kwa upande wangu namkubali Mzee Mpili kwa kuongea kwake kwa kujiamini bila kuogopa mtu na kufanya kuleta Raha kwa Yanga na labda nkuulize Manara anavyosemaga Simba itashinda kwa goli 3 na kuendelea dhidi ya Yanga naye pia ni mshirikina?Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikitafakari sana Promo anayopewa Mzee mmoja anayeitwa Mpili.
Ambalo nimekuja kugundua sisi Watanzania ni watu wa kuamini kuwa uchawi/ushirikina ni njia ya kuleta mafanikio.
Wengi hawaamini kwamba kujiamini,kupanga mipango,kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwa na nidhamu kama misingi ya mafanikio.
Inahuzunisha sana kwa kushabikia ushirikina kama njia ya mafanikio.