Ghafla laptop yangu inakataa kufungua website

Ghafla laptop yangu inakataa kufungua website

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Habari wataalamu.

Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu.

Je nini tatizo? na Suluhisho?

Ahsante sana kwa msaada wenu.
 
Habari wataalamu.
Nina laptop yangu hp touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu.
Je nini tatizo?
Suluhisho?
Ahsante sana kwa msaada wenu.
jaribu kubadili dns server za kwenye network
 
simple way nenda kwny setting then kwny network and internet then kuna sehem wameandika network reset then reset now,hii ni njia nyepesi ya kutatua tatzo la internet kama ume connect wifi lkn uwez ku access chochote keny browser
 
Kwenye simu na vifaa vingine inakubali ?

Kuna vpn kwenye laptop ?

ni router ya aina gani ?
Kwenye vifaa vingine inakubali.
Kwenye laptop sijaweka VPN.
Router ni dlink 4G
 
Back
Top Bottom