Mkuu we n muhaya au unatokea mkoa gan?Sijakwambia km touch imekufa mkuu
jaribu kubadili dns server za kwenye networkHabari wataalamu.
Nina laptop yangu hp touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu.
Je nini tatizo?
Suluhisho?
Ahsante sana kwa msaada wenu.
Kwenye simu na vifaa vingine inakubali ?Bundle lipo mkuu
Badili jina la wifi na password yakeKwenye vifaa vingine inakubali.
Kwenye laptop sijaweka VPN.
Router ni dlink 4G