Ghafla nimetamani Lissu asishinde Uenyekiti ili agombee Urais wa JMT tena

Ghafla nimetamani Lissu asishinde Uenyekiti ili agombee Urais wa JMT tena

Aramun

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
461
Reaction score
2,213
Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena.

Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.

Screenshot_2025-01-22-03-42-21-379_com.twitter.android-edit.jpg
 
Wewe huijui vizuri CCM
Lissu akifanyiwa hila na kushindwa tukio linalofuata ni kuondolewa kabisa ndani ya CHADEMA.
Atagombea kupitia chama gani?
Hivyo vyama vingine kuna usalama, kwamba hakuna mkono wa CCM?
 
Akili zenu vijana ni fupi sana.
Yaani CCM wamekosa kipi mpaka wamuondoe CHADEMA?.
Na wanamuondoaje?.
 
Dogo,
Mbowe aligombea uRais 2005 akiwa mwenyekiti CDM.
Karibu kwa swali lolote nikufunde
 
Back
Top Bottom