Ghafla Shomari Kapombe ndiye mchezaji mzee kuliko wote Simba

Ghafla Shomari Kapombe ndiye mchezaji mzee kuliko wote Simba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi.

Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale kambini anapewa shikamoo na wachezaji karibia 20 kasoro Mzamiru na Shabalala, wengine wote ni shikamoo kaka Shomari.

Aanze kutafuta timu au kazi nyingine Kwa umri wake wa miaka32 kwenye siasa utaambiwa bado mdogo sana waachie wakubwa.

Shikamoo kaka Shomy ni mimi mdogo wako mdukuzi
 
pamoja na uzee wake ila anazidiwa kidogo na AUCHO na CHAMA
 
pamoja na uzee wake ila anazidiwa kidogo na AUCHO na CHAMA
 
Back
Top Bottom