Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

Kabla sijakutajia maovu yake,mwambie mheshimiwa Jaji kama unakubaliana na maovu ya Sabaya na Bashite,kisha mwambie kama hawakufanya mbele ya Jiwe
Bashite na Sabaya sio Maguli na hawakufanya waliyofanya kwa maelekezo ya Magufuli.

Pia kumbuka kwamba no President can be everywhere at the same time.

Zako Ni accusations za kijinga zinazochangiwa na chuki zinazoambatana na uovu.
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
Sasa ushahidi wa 2013 na wa tangu 2006 upi una nguvu? Bashite aliingizwa choo cha kike akajua keshajipatia mjumba wa ghorofa wa bure tena anajengewa na mkandarasi group 6 kumbe wenzie wamempa makaratasi feki.[emoji1787][emoji1787]
 
Acha vitisho visivyo na msingi wewe. Kama GSM halipi kodi si uende TRA ,ooh mara hana uraia kwani uhamiaji huwaoni?

Mlizoea kukwapua vya bure sasa vinawatokea puani.
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
Kwamba Ridhiwani alivyoingia juzi ndio kabadili hati?
Nyie Sukuma gang pamoja na yule mungu wenu zumaridi mtanyooka tu
 
Iko siku wahindi na wenye asili za akina GSM tutawafukuza wote. Sijui anatokea nchi gani. Kinachokera ni ujinga wa kuhusisha kila jambo eti Dkt Magufuli alikuwa mbaya. Nyie subirini, mtakuja tiwa adabu very soon.
Ngorongoro inauzwa huko una habari?
 
Bashite bana dah😀
 
These are stupid dots.Tuambie unayojua maovu aliyofanya Hayati Magufuli.Hamchoki tu,mnapaka matope hata marehemu!You are so evil.Ni uzuchi tu na kusingizia watu.
Alifanya maovu mengi sanaaaa,ndo maana Mungu alimchukua kutupumzisha watu wake!!mwache achomeke huko huku akiziona sura za kina ben saanane!!
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
Hahah watetezi wa Bashite mmebaki uchi kama bata.
Mwambie Bashite kama anaona amedhulumiwa aje na hizo documents na asithubutu tena kukanyaga pale site maana safari hii watamtia viboko vya kwenye yale makalio.

🤣🤣🤣Ona hizi forgery za mtoto wa darasa la tatu kabisa:
 
GSM hana haj ya kwenda mahakamani sababu hiyo ni mali yske na ipo chini yake anaendeleza ujenzi,anayelalamiks ni Bashite kuwa ameporwa ardhi,anatakiwa aende mahakamani
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
Tena wamemtumia Ridhiwani kama waziri wa wizara ya ardhi.

Ina maana Ridhiwani alipelekwa pale maksudi ili kumkomoa Makonda.

Bila Kikwete hakuna GSM....hawa ndio wale Home Shopping Center.

Walikuwa wakinyanyasa wafanyakazi mbaya kabisa ile enzi ya JK...na sasa wamerudi ulingoni upya.

Ni wahuni kuanzia usitishaji mkataba wa TFF mpaka kufukuza waajiriwa wao wa kihindi usiku kinyemela.

Time....will....tell....
 
TAKUKURU wanajifanya hawaioni hii songombingo, sijui kazi yao ni kuwa kamata ma nesi na waalim tuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…