Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

Kwanza Wewe ndiye mbumbu, kwani mpaka Magufuli anafariki makonda alikuwa ni mkuu wa mkoa?

Sasa mnamushishaje Magufuli Wakati Mpaka anakufa makonda akuwa na cheo chochote,na hatukuwai kusikia huyo Garibu akilalamika kuwa makonda kamzurumu kiwanja,

Makonda kasema kiwanja kakinunua 2013 Hata bado kupata ukuu wa mkoa,Sasa hapo kosa la Magufuli ni lipi?
 
Kaka Gsm ukiamua kutoa TOA.
Kiendacho kwa mganga uwa akirudi.
 
Wote wawili ni matatizo tu

Home shopping center wametuibia sana kodi zetu hadi wakaleta TRA yao
 
Hili nalo boya tu utahongwaje kiwanja?
 
Tuliwaambia jamani hii boti tuzibe matobo maji yasiingie.... wao wakasema matobo yapi tena? kisa tu wako first class.... sasa boti inazama wanashangaa kumbe tuko kweli boti moja.
 
Pole sana, hili Jukwaa siyo saizi yako. Huna unachojuwa
 
Kila jambo na wakati wake. Wakati sijazaliwa kuna mjinga mmoja alijiita Mungu wa DSM. Kazi sana
 
Ndugu Pohamba wewe ndiye umeandika kwa kuangalia pande zote mbili.

Kongole kwa kuona hilo.

Makonda ni muhuni na GSM ni muhuni, wamekutana wahuni wawili hapo,ngoma droo watoto wa mjini mnasema.

Nasubiria kukutana na Makonda kwenye kona nami nimbananishe.
 
No! hata kama hajafanya transfer anatakiwa kuonyesha mkataba wa mauziano. Unless alitumia cheo kumnyang'anya na sasa amemgeuka.
 
Gharibu naye Aache ujanja ujanja wa kujipendejeza kwa viongozi Ili Mambo yake yafanikiwe,,Makonda sawa anayomakosa yake Lakini Gharibu Naye SI mtu mzuri...
Valisha nyama kwenye mfupa Mkuu!
 
Aliingia mkataba wa ujenzi kabla hajapata kibali cha ujenzi?

Amandla...
 
hivi kibali cha ujenzi ni kielelezo cha umiliki? Nauliza tu inaweza ikanisaidia na mimi hii kwangu
Kabla ya wahusika au ofisi husika kutoa kibali cha ujenzi huhakikisha wamejiridhisha kuhusu mmiliki wa Kiwanja kwenye eneo lao la Utawala.
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.
Bro Mali za watu sio nzuri
Tafuteni za kwenu kihalali
 
Niliandika topic ya kumpiga risasi Makonda naona imefutwa haraka. GSM hawawezi kusemwa wana hela ndefu
 
Mali za watu sio nzuri

Mali zinatabia ya kurudi kwa wenyewe
Wakili msomi anakimbilia kuongea na waandishi wa habari badala ya kwenda mahakamani. Huyu ndiye aliwadanganya yanga morison ni mchezaji halali kwa vielelezo vya kugushi vya gsm
 
2013 lakini hapo imesemwa GSM KAANZA umiliki wa eneo hilo 2016..ina 2013 hakuwa mmiliki wa hilo eneo
Je Makonda alipopewa hiyo hati ya mauziano hapo 2013 mbele ya huyo wakili alipewa pia hati original ya hicho kiwanja?

Kama hakupewa, mauziano haya kukamilika na huyo wakili wake sio makini kwani alitakiwa amshauri kupatikana ile hati husika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…