Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

Kwa hili mstaafu wetu wa Dar angepiga kimya yasijechimbuliwa makaburi mengine kipindi cha utawala, ikawa balaa
Anataka ajitetee Kama fala mwenzie Sabaya kwamba walikuwa wanatumwa na mungu wao. Haitamsaidia na pia heri akae kimya wayamalize out of Court
 
Huyu mwanasheria ni poyoyo, huo ushahidi wa GSM ni wa kubumba maana mwenzake kaleta ushahidi wa tangu 2013. Pamoja na udhaifu wa Makonda hapo Riziwani Kikwete anahusika na hii kitu nawahakikishia itakuja kumgharimu yeye na huyo GSM.

Yy kaleta ya 2013 jiulize alikua wap makonda mwaka huo je alikua na kipato cha kumiliki iyo ardhi pia gsm kaweka document za 2008
 
Mara Nyingi Mwisho Wa Ugomvi Pande Zote Mbili Huwa Zinaonekana Wakosefu.

Ila Tujiulize Nani Aliyeanza Huu Ugonjwa Uwezi Kutatua Tatizo Kama Chanzo Hakifahamiki.
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni watuhumiwa, TAKUKURU wanajidai hawaoni huu uharamia
 
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE!

sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA

Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.

Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.

#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipi
 
The guy
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE!

sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA

Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
The guy is a fraudster maana hakunaga document inawekwa picha juu ya mhuri wa Wakili, wenzie walimtega zamani sana, mshamba ni mshamba tu, although naelewa yawezekana GSM walimpa kiwanja wakati ule wa Magufuli na makonda akaogopa kufanya transfer sababu Magufuli was a psychic Sasa wamegundua hajafanya na wanaona huu ndio muda wa kumkomesha warudishe kiwanja chao.

Mwisho wa siku ukweli ni kwamba makonda hakuwa na hela ya kununua kiwanja Ada Estate aisee huu ndio ukweli tunajua bei za pale na Msasani plus kule kwa Mengi na Magu pamoja na oysterbay na masaki bei za kule kiwanja hazikamatiki hata kwa dawa labda kwa anayejenga business Park Ila sio nyumba ya kuishi.

Yani mkuu wa mkoa ukae mtaa mmoja na JK? Mtoto wa juzi tu??? Tuwage wakweli tu. Dogo alijitutumua mno nae wacha akome. Ameshindwa kujenga bangaloo mbweni?
 
Ni shida kubwa Sana. GSM nao wanna Siri nyingi za Makonda. Maana ndio walikuwa wafadhili wake.
 
Dr Slaa anachungulia huku akiudhika 😆

 
Inaonesha wewe ni mwandishi mzuri ila si mchambuzi makini
 
Makonda huyu huyu si aliwanyang'anya Yanga eneo kule Kigamboni walilopewa na aliyekuwa Mwenyekiti wao Yusuph Manji na baadae kuligawa na Yanga akawapatia kaeneo kadogo.

Kama kwa Manji na Yanga alifanya hivyo atashindwaje kwa watu wengine wakiwemo GSM.

Huyu mtu ana mambo mengi ya ajabu
 
Wewe umeongea pointi. Ndiyo maana ushahidi wa GSM ni wa kubumba
Kwa ushahidi aliotoa mwanasheria wao hamna Cha kubumba hapo ndugu yangu.Kwenye Transfer a right of occupancy Kuna Mambo mengi sana..

Alichokionesha Paul Kama document ile ni kama karatasi tu una kasoro nyingi,bad enough haijapewa consent na kamishna wa ardhi au afisa ardhi mteule...lakin pia ili mtu akuuzie kiwanja chenye hati Kuna spouce consent...

Mpaka hapo tu kisheria na taratbu za umiliki wa ardhi Tanzania ,..GSM Kama alivyoeleza mwanasheria wake ndivyo basi ndio mmiliki halali
 
Awamu ya uporaji Mali za watu imepita Sasa, Ni wakati wa viongozi wote waliopora Mali za watu kwa mgongo wa udikteta wa awamu iliyopita warudishe Mali za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…