Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
MY TAKE
Kunyaland will remain the last one on this!
Mtaendelea kuiona kwenye TV tu!
We endelea kushabikia utoto na uchumi wetu by imf Oct 2018 umefika $90bn nyibado mko $55bn mshaa pitsa na kina ghana
you are Kenya in 2010... kimya kimya tafadhaliWe endelea kushabikia utoto na uchumi wetu by imf Oct 2018 umefika $90bn nyibado mko $55bn mshaa pitsa na kina ghana
MY TAKE
Kunyaland will remain the last one on this!
Mimi hiyo A-380 nimeshaipanda nikitoka Dubai nikielekea Ulaya mwaka uliopita. Emirates wako nazo zaidi ya hamsini. Nakumbuka zilikuwa zinaruka angani baada ya kila dakika kumi. Ukisafiri kwa kutumia Emirates lazima utapanda A 380 kwa sababu inabeba watu wengi na inapunguza gharama ya usafiri. Hata hivyo, sijawahi ringa hapa eti nimeipanda, nimenyamaza tu muda huu wote kwani ni upuzi kuongea kuhusu ndege za wenyewe. Jishughulishe na Bombadier lenu. Usitaje ndege hujawahi panda. Najua A 380 unaiona tu kwa t.v na youtube. Stick to your lane.

Umepanda ya Emirates toka Dubai mimi naongelea a shame that comes along with JKIA not playing a host to the same aircraft!Mimi hiyo A-380 nimeshaipanda nikitoka Dubai nikielekea Ulaya mwaka uliopita. Emirates wako nazo zaidi ya hamsini. Nakumbuka zilikuwa zinaruka angani baada ya kila dakika kumi. Ukisafiri kwa kutumia Emirates lazima utapanda A 380 kwa sababu inabeba watu wengi na inapunguza gharama ya usafiri. Hata hivyo, sijawahi ringa hapa eti nimeipanda, nimenyamaza tu muda huu wote kwani ni upuzi kuongea kuhusu ndege za wenyewe. Jishughulishe na Bombadier lenu. Usitaje ndege hujawahi panda. Najua A 380 unaiona tu kwa t.v na youtube. Stick to your lane.
According to ICAO only few airports can handle that bird in Africa not more than 5 airports n JKIA none of them! Ooh yes it is accomplishment!We are all Poor and the worse part ni kwamba kila mmoja is seeking recognition and appreciation from outside we’re so divided in a sense that we cannot even recognize that we have been struggling with similar problems from 40 years ago if only we had learn to appreciate ourselves and live in our shoes A380 hosting wouldn’t have been a topic