Ghana beat LDC Kenya on hosting A380

Ghana beat LDC Kenya on hosting A380

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917

MY TAKE
Kunyaland will remain the last one on this!
 
GHANA overtakes Lazy Tz after Rebasing economy - JamiiForums

Africa-UN.jpg
 
We endelea kushabikia utoto na uchumi wetu by imf Oct 2018 umefika $90bn nyibado mko $55bn mshaa pitsa na kina ghana
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Buda feelings mingi zitakumaliza. I have noticed how hard you work to bring Kenya down but for Sure Kenya is your worst nightmare when you decide to do so.
Utaimba uimbe but you will always wake up to find us Ahead of Tz always. Nikama vile unatarajia mwangaza asubuhi na giza usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaendelea kuiona kwenye TV tu!
 
MY TAKE
Kunyaland will remain the last one on this!

Mimi hiyo A-380 nimeshaipanda nikitoka Dubai nikielekea Ulaya mwaka uliopita. Emirates wako nazo zaidi ya hamsini. Nakumbuka zilikuwa zinaruka angani baada ya kila dakika kumi. Ukisafiri kwa kutumia Emirates lazima utapanda A 380 kwa sababu inabeba watu wengi na inapunguza gharama ya usafiri. Hata hivyo, sijawahi ringa hapa eti nimeipanda, nimenyamaza tu muda huu wote kwani ni upuzi kuongea kuhusu ndege za wenyewe. Jishughulishe na Bombadier lenu. Usitaje ndege hujawahi panda. Najua A 380 unaiona tu kwa t.v na youtube. Stick to your lane.
 
Ulikuwa na haja gani kutueleza!!!???au ni deal sana kupanda ndege huko kenya??
 
Mimi hiyo A-380 nimeshaipanda nikitoka Dubai nikielekea Ulaya mwaka uliopita. Emirates wako nazo zaidi ya hamsini. Nakumbuka zilikuwa zinaruka angani baada ya kila dakika kumi. Ukisafiri kwa kutumia Emirates lazima utapanda A 380 kwa sababu inabeba watu wengi na inapunguza gharama ya usafiri. Hata hivyo, sijawahi ringa hapa eti nimeipanda, nimenyamaza tu muda huu wote kwani ni upuzi kuongea kuhusu ndege za wenyewe. Jishughulishe na Bombadier lenu. Usitaje ndege hujawahi panda. Najua A 380 unaiona tu kwa t.v na youtube. Stick to your lane.
Umepanda ya Emirates toka Dubai mimi naongelea a shame that comes along with JKIA not playing a host to the same aircraft!

Siku mkiwa na facility kama hii pale JKIA njaa na jiggers zitakuwa eradicated Kenya

We are all Poor and the worse part ni kwamba kila mmoja is seeking recognition and appreciation from outside we’re so divided in a sense that we cannot even recognize that we have been struggling with similar problems from 40 years ago if only we had learn to appreciate ourselves and live in our shoes A380 hosting wouldn’t have been a topic
 
According to ICAO only few airports can handle that bird in Africa not more than 5 airports n JKIA none of them! Ooh yes it is accomplishment!
 
Back
Top Bottom