Ghana: Kufuatia ongezeko la visa vya COVID-19 Rais Nana Akufo-Addo asema ni lazima kila mtu kuvaa barakoa kuanzia sasa

Ghana: Kufuatia ongezeko la visa vya COVID-19 Rais Nana Akufo-Addo asema ni lazima kila mtu kuvaa barakoa kuanzia sasa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19, Rais Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa kuanzia sasa kuvaa barakoa ni suala la lazima nchini humo na Polisi wameelekezwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa

Alikuhutubia taifa, Rais Addo amesema idadi ya visa inaongezeka kutokana na watu kushindwa kuheshimu taratibu zilizowekwa ili kukabiliana na mlipuko huo

Ametoa wito kwa wananchi wote kuwajibika huku akisisitiza kuwa wanayo nguvu ya kuushinda mlipuko wa CoronaVirus na kufanya maisha kurejea kama awali, ikiwa kila mtu ataheshimu taratibu zilizopo

Ghana imerekodi visa 11,964, wagonjwa 4,258 wamepona na 54 wamefariki dunia

=====

President Nana Akufo-Addo has announced that the wearing of face masks is now compulsory in Ghana.

The country’s coronavirus case count has risen to nearly 12,000, with 54 deaths and about 4,000 recoveries.

Restrictions on religious gatherings have been eased and schools will reopen for final year students on Monday. Border crossings still remain closed.

The country has so far conducted about 250,000 tests in its population of 30 million.

BBC
 
Wavae zinazofanana na titi coona itaondoka nimechomekea tu
 
Waafrika wanavyojitutumua kuonekana nao wanapambana na corona,africa corona ingekuwa inapiga kama tulivyokuwa tunasikia huko china na kwa wazungu basi muda huu tungekuwa tunaokota miiili barabarani.
 
Back
Top Bottom