Ghana: Mbunge apondwa na makopo, akimbizwa na wananchi kwa ahadi za uwongo

Ghana: Mbunge apondwa na makopo, akimbizwa na wananchi kwa ahadi za uwongo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mbunge.JPG
Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa kutotimiza ahadi zake za kurekebisha miundombinu.

Osei Kyei Mensah-Bonsu ni Mbunge wa Chama cha New Patriotic Party (NPP), alikuwa katika eneo hilo kuzungumza na wananchi juu ya mahitaji yao ikiwa ni pamoja na miundombinu duni.

Mbunge huyo amesema kuwa hana wasiwasi kuhusu tukio hilo kwa sababu vijana wangefanya vivyo hivyo kwa afisa yeyote wa serikali, na sio yeye pekee.

Mbunge Nigeria.JPG

----------------------------------

Angry Ghana youth chase lawmaker, throw am sachet water over failed promises

Angry youth for Ghana chase lawmaker, throw am sachet water, insult and hoot at am over failed promises in de area.

Residents for Suame attack Majority Leader, Osei Kyei Mensah-Bonsu for Suame, Ashanti Region on Monday.

Dis be afta he visit en constituency to engage dem over dia concerns.

But de angry youth group, mainly artisans bore de lawmaker who dey represent dem for parliament, sake of dat, dem chase am away, hoot at am while odas throw objects including sachet water at him.

Police escort am into en car den move am away from de scene to prevent dem from attacking him.

Source: BBC
 
Ya Sri Lanka hayajapoa waghana nao wamekuja na series mpya
 
Ikianza bongo sidhani kuna atakayepona kwa ahadi zao za uongo wale watu wa mjengoni.
 
Lakina Babu Tale, na Msambatavangu wa wanaume waache kunyonya maziwa ya watoto.
Huyu Babu Tale ajiangalie sana! Maana anatumia muda wake mwingi bungeni kumpigania msanii wake Diamond dhidi ya Basata na Cosota!
Yaani hata hajulikani anawakilisha watu wa Jimbo gani hapa nchini.

Jesca Msambatavangu naye nilijua ni kichwa!! Kumbe hamna kitu!!! Michango yake mingi bungeni imejaa utata mtupu. Sijui ni kwa sababu mtangulizi wake Mchungaji Peter Msigwa alishafanya mambo mengi kabla yake! Na hivyo kujikuta hana cha kuwasemea wana Iringa!!
 
Hivi yale mavitabu wanayopewa anayapitia kweli

Ova
 
Back
Top Bottom