UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mkewe huyo rais kama yupo humu Jf lazima atakuwa na mashaka na wewe maana muda wote unamtaja mumewe tu.Yule Rais mataputapu wa nchi fulani ya asali na maziwa ya Afrika mashariki atazikubali hizi chanjo lini?