Ghana, Senegal zafuzu World Cup 2022; Misri na Nigeria zatupwa nje

Ghana, Senegal zafuzu World Cup 2022; Misri na Nigeria zatupwa nje

Ghana walitolewa kwenye robo fainali na Uruguay mwaka 2010 nchini South Africa na Ujerumani kwenye round of 16 nchini Ujerumani mwaka 2006.

Please, be advised accordingly.
 
Nigeria kulinuka uwanjani
Mashabiki hawakuelewa

Ova
Minachowauma ni kukosa kisingizio cha kwenda kuuza 'dawa' wakati wa michuano, watabaki Wabrazi na Wataliano peke yao wakitawala soko.
Huwa ni msimu wa kupiga pesa sana kwa 'pharmacists'.
 
Back
Top Bottom