I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Mar 31, 2022 #21 Jeho said: Uruguay Click to expand... Ghana walitolewa kwenye robo fainali na Uruguay mwaka 2010 nchini South Africa na Ujerumani kwenye round of 16 nchini Ujerumani mwaka 2006. Please, be advised accordingly.
Jeho said: Uruguay Click to expand... Ghana walitolewa kwenye robo fainali na Uruguay mwaka 2010 nchini South Africa na Ujerumani kwenye round of 16 nchini Ujerumani mwaka 2006. Please, be advised accordingly.
Qwy JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 6,238 Reaction score 31,190 Mar 31, 2022 #22 mrangi said: Nigeria kulinuka uwanjani Mashabiki hawakuelewa Ova Click to expand... Minachowauma ni kukosa kisingizio cha kwenda kuuza 'dawa' wakati wa michuano, watabaki Wabrazi na Wataliano peke yao wakitawala soko. Huwa ni msimu wa kupiga pesa sana kwa 'pharmacists'.
mrangi said: Nigeria kulinuka uwanjani Mashabiki hawakuelewa Ova Click to expand... Minachowauma ni kukosa kisingizio cha kwenda kuuza 'dawa' wakati wa michuano, watabaki Wabrazi na Wataliano peke yao wakitawala soko. Huwa ni msimu wa kupiga pesa sana kwa 'pharmacists'.