Kama mada inavyosema hapo juu wakuu naomba wazoefu na biashara hii waje watoe tathmin fupi juu ya hii biashara
1. Gharama za kuanzishwa hii biashara (simple lab )
2. Changamoto za hii biashara
3. Faida za hii biashara
4. Makadirio ya mapato katika biashara hii
Nawakaribisha wote kuchangia
Nawasalimu kwa jina la JMT btw