Gharama biashara ya maabara

Gharama biashara ya maabara

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Kama mada inavyosema hapo juu wakuu naomba wazoefu na biashara hii waje watoe tathmin fupi juu ya hii biashara
1. Gharama za kuanzishwa hii biashara (simple lab )
2. Changamoto za hii biashara
3. Faida za hii biashara
4. Makadirio ya mapato katika biashara hii

Nawakaribisha wote kuchangia

Nawasalimu kwa jina la JMT btw
 
Ni maabara za magonjwa ya binadamu
 
Back
Top Bottom