Mr Confidential gari yako ikifika, Onana na mtu kama Mapfa A , akusaidie kulitoa kwa haraka bila gharama kubwa maelezo yake yanaonyesha ana uzoefu sana.
Naomba uniorodhoshee gharama za bandarini. Hili ndo lilikua hitaji la kwanza la uziHii ilishamkuta jamaa yangu alitumia mbinu ya kabadilisha tyre.
Ila kuhusu kuwapoza hii ipo sana.
JF Haina msaada siku hizi, siku tatu huna jibu na watu ndio kazi zao.Naomba uniorodhoshee gharama za bandarini. Hili ndo lilikua hitaji la kwanza la uzi
Naomba uniorodhoshee gharama za bandarini. Hili ndo lilikua hitaji la kwanza la uzi
Kutoa gari bandarini kwanza inategemeana na aina ya gari yenyewe, kuna za kuanzia laki 6, laki 8 na kuendelea. Kwa huyo jamaa ambae kaandika hio laki 3 ya TBS ni kwamba gari yako ikifika hapa bongo ni lazima ikaguliwe, sasa katika ukaguzi ikatokea wameona faults ama shida ndani ya gari itatakiwa ukairekebishe kwanza then ndo iweze kupitishwa ko sielewi hio 300k kawapea TBS ya nini...ila akili yangu inanituma itakua ya kurekebisha fault iliokutwa au alijiongeza akawapea kitu kidogo ili gari yake ipite.
Malipo mengine kama number plate, storage na zingine zilizobakia ndo za lazima hizo. Maana gari yako haiwezi kaa bure pale and mostly baada ya kufikisha siku 7 kuanzia imefika bandarini
Asante mkuuTBS Tsh 350,000/= ni Lazima (gharama ya UKAGUZI) likikutwa na kasoro unaenda kurekebidha kisha utarudisha kwa gharama zako ila wao lazima 350,000 uilipe kwa Control number KABLA ya gari kukaguliwa.