Gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi

Mr Brain Jr

New Member
Joined
May 29, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Hello,

Kwa yeyote anaejua na kufanya naomba kujua gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi kuanzia carton 10 na kuendelea. Gharama za materials n.k.

Ahsanteni
 
Mi naona gharama kubwa iko kwenye mafuta,ndo maana wanaotengeza hizi sabuni wanaopt kutengenezea kigoma kwenye mawese mengi,
ukiweza kusolve tatizo la hii malighafi ya mafuta,chemicals inayotumika sio nyingi kivile,
na hivi sasa mafuta yalivyo bei juu,kama unataka kutengeza hizi sabuni na uko kwa mfano dar ,itabidi uziuze kwa bei kama emperial soap ndo upatemo faida,
so location ya project yako ifanyie karibu na upatikanaji cheap wa mafuta
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Nakuona umetekenyeka km huyu[emoji116]
IMG_20180530_102432.jpg
 
Gharama zipo kulingana na material bei zinazouzwa,nenda kariakoo kwenye maduka ya ujasiriamali utapata kila kitu.
 
Back
Top Bottom