Gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi

Mi naona gharama kubwa iko kwenye mafuta,ndo maana wanaotengeza hizi sabuni wanaopt kutengenezea kigoma kwenye mawese mengi,
ukiweza kusolve tatizo la hii malighafi ya mafuta,chemicals inayotumika sio nyingi kivile,
na hivi sasa mafuta yalivyo bei juu,kama unataka kutengeza hizi sabuni na uko kwa mfano dar ,itabidi uziuze kwa bei kama emperial soap ndo upatemo faida,
so location ya project yako ifanyie karibu na upatikanaji cheap wa mafuta
Samahani,wewe ndiye Elungata wa kwenye "kikomo"??
 
Mi naona gharama kubwa iko kwenye mafuta,ndo maana wanaotengeza hizi sabuni wanaopt kutengenezea kigoma kwenye mawese mengi,
ukiweza kusolve tatizo la hii malighafi ya mafuta,chemicals inayotumika sio nyingi kivile,
na hivi sasa mafuta yalivyo bei juu,kama unataka kutengeza hizi sabuni na uko kwa mfano dar ,itabidi uziuze kwa bei kama emperial soap ndo upatemo faida,
so location ya project yako ifanyie karibu na upatikanaji cheap wa mafuta
Shukrani sana Elungate. Ila pia nilitaka kufaham kwa hesabu halisi kwamba ili niweze zalisha sabuni kiasi kadhaa napaswa kuwa na mafuta lita kadhaa na ingredients kiasi fulani. Kwa yeyote mwenye any informations kuhusu hilo anijuze. Factor ya bei za malighafi tuziweke kuwa constant. Ahsante
 
Jaribu kusearch Saponification value kwa vipimo,

kuna link nyingi tu online,utube huwezi kosa kujua vipimo,

mfano,

Cold Process Soap Making Method & Easy to follow Recipe

Soap_0020_holder_0020_4.jpg
 
Back
Top Bottom