Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Samahani,wewe ndiye Elungata wa kwenye "kikomo"??Mi naona gharama kubwa iko kwenye mafuta,ndo maana wanaotengeza hizi sabuni wanaopt kutengenezea kigoma kwenye mawese mengi,
ukiweza kusolve tatizo la hii malighafi ya mafuta,chemicals inayotumika sio nyingi kivile,
na hivi sasa mafuta yalivyo bei juu,kama unataka kutengeza hizi sabuni na uko kwa mfano dar ,itabidi uziuze kwa bei kama emperial soap ndo upatemo faida,
so location ya project yako ifanyie karibu na upatikanaji cheap wa mafuta
mimi ndiye,,karibu sana MaganzoSamahani,wewe ndiye Elungata wa kwenye "kikomo"??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntakuja tena kwa mara nyingine na ndugu Willy Gambamimi ndiye,,karibu sana Maganzo
Shukrani sana Elungate. Ila pia nilitaka kufaham kwa hesabu halisi kwamba ili niweze zalisha sabuni kiasi kadhaa napaswa kuwa na mafuta lita kadhaa na ingredients kiasi fulani. Kwa yeyote mwenye any informations kuhusu hilo anijuze. Factor ya bei za malighafi tuziweke kuwa constant. AhsanteMi naona gharama kubwa iko kwenye mafuta,ndo maana wanaotengeza hizi sabuni wanaopt kutengenezea kigoma kwenye mawese mengi,