Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
 
Gharama inategemea na capacity na mahitaji yako maana kia kitu kinakua calcutated kuingana na mahitaji/matumizi yako.

Ila katika uhalisia kampuni nyingi zina wachaji wateja pesa nyingi sana.

Mfumo wa milioni moja utaambiwa utawekewa gharama za milioni 3.

Ndio bongo yetu hiyo.
 
Gharama inategemea na capacity na mahitaji yako maana kia kitu kinakua calcutated kuingana na mahitaji/matumizi yako.

Ila katika uhalisia kampuni nyingi zina wachaji wateja pesa nyingi sana.

mfumo wa milioni moja utaambiwa utawekewa gharama za milioni 3.

Ndio bongo yetu hiyo.
Tuchukulie wastani wa numba zetu za kawaida za vyumba vitatu. Umeme unarun taa, friji, tv, radio, feni na pasi. Mapishi ni gesi, hakuna mashine ya kufulia wala dishwasher.
 
Pia labda tufanye unaagiza panels zako na vikorokoro vingine sehemu kama Alibaba. Unatafuta tu fundi wa kuja kusuka.
 
Ingia YouTube kisha chukua list ya vifaa na gharama kisha ukaulizie kwa maduka na mafundi wa hapa Tanzania.
 
Pia labda tufanye unaagiza panels zako na vikorokoro vingine sehemu kama Alibaba. Unatafuta tu fundi wa kuja kusuka.
Pita maduka tofauti ya solar, utapatiwa bei ya configuration tofauti tofauti.

Kingine urahisi wa alibaba usikupumbaze sana, kuna crap products nyingi hasa kwa mtu asiyejua kuchuja kwa umakini.
 
Tuchukulie wastani wa numba zetu za kawaida za vyumba vitatu. Umeme unarun taa, friji, tv, radio, feni na pasi. Mapishi ni gesi, hakuna mashine ya kufulia wala dishwasher.

Mkuu kwa matumizi kama hayo ni makubwa sana kwenye solar.shida ya solar umeme ukibadilisha tu kutoka kwenye DC kupeleka kwenye AC ili utumie vifaa ulivyonavyo inakuwa cost kubwa kidogo.hapo sio chini ya Kw 2 kwa matumizi unayoitaji.kwa iyo jiandae na sio chini ya milion 6.

Ni bora ununue solar na vifaa vya DC kuliko kubadili kupeleka kwenye AC
 
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
safi sana,i wish na mie nitumie solar tu,hii songombingo ya tanesco ni kero tu
 
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Dah... kwa sera ya nchi yetu ukitaka kutumia umeme jua kwa kutaka kupunguza gharama utakuwa umefeli kwani gharama ya unit moja ya umeme ni kubwa kuliko ya Tanesco.... Tumia umeme jua kama tu unataka umeme wa kuaminika ...usiokatikakatika....au ukusaidie wakati Tanesco wamefanya yao..umeelewa au unataka hisabati yake? 😎
 
Yaani solar iwashe fridge na pasi na tv na redio kama itawezekana itakuwa very expensiwe vinginevyo solar itumike kama dharula wakati tanesco wamekata!
 
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Binafsi nilifanya Installation ya Solar Kijijini kwetu kwa solar inayoniwezesha kutumia kila kitu kilichopo ndani ya nyumba kinachotumia umeme kwa Shilingi 9,000,000 mwaka 2019.
 
Yaani solar iwashe fridge na pasi na tv na redio kama itawezekana itakuwa very expensiwe vinginevyo solar itumike kama dharula wakati tanesco wamekata!
Mimi mpaka maji ya kuoga yanachemshwa na umme wa Solar huko kijijini kwetu.
 
Back
Top Bottom